2010–2019
Ripoti ya Takwimu, 2014
Aprili 2015


Ripoti ya Takwimu, 2014

Kwa taarifa ya waumini wa kanisa, Urais wa Kwanza umetoa ripoti ifuatayo ya takwimu kuhusu ukuaji na hali ya Kanisa kufikia Desemba  31, 2014.

Vitengo vya Kanisa

Vigingi

3,114

Misheni

406

Wilaya

561

Kata na Matawi

29621

Waumini wa Kanisa

Jumla ya Waumini

15,372,337

Watoto Wapya wa rekodi

116,409

Waongofu Waliobatizwa

296,803

Wamisionari

Wamisionari wa Muda

85,147

Wamisionari wa Huduma za Kanisa

30,404

Mahekalu

Mahekalu Yaliyowekwa Wakfu katika mwaka wa 2014 (Fort Lauderdale Florida, Gilbert Arizona, na Phoenix Arizona)

3

Mahekalu Yaliyowekwa Wakfu Upya (Ogden Utah)

1

Mahekalu Yanayotumika Kufikia Mwishoni wa Mwaka

144