2010–2019
Kuidhinishwa kwa Maafisa wa Kanisa
Aprili 2015


Kuidhinishwa kwa Maafisa wa Kanisa

Ndugu na dada, imepedekezwa tumuidhinishe Thomas Spencer Monson kama nabii, mwonaji, na mfunuaji na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Benry Bennion Eyring kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Dieter Friedrich Uchtdorf kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wanaokubali wanaweza kuonyesha.

Wanaopinga, ikiwa kuna yeyote, anaweza kuonyesha.

Kura imenukuliwa.

Imependekezwa kwamba tumuidhinishe Boyd Kenneth Packer kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na wafuatao kama washiriki wa Akidi hiyo: Boyd K. Packer, L. Tom Perry, Russell M. Nelson, Dallin H. Oaks, M. Russell Ballard, Richard G. Scott, Robert D. Hales, Jeffrey R. Holland, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, and Neil L. Andersen.

Wanaokubali, tafadhali onyesheni.

Wowote wanaopinga wanaweza kuashiria hivyo.

Asanteni. Kura imenukuliwa.

Imependekezwa kwamba tuidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuaji.

Wote wanaokubali, tafadhali onyesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Kura imenukuliwa.

Imependekezwa kwamba tuwapumzishe Sabini wa Eneo wafuatao, kuanzia Mei 1, 2015: Juan C. Avila, Philip K. Bussey, René J. Cabrera, Renato Capelletti, Paul D. M. Christensen, Samuel W. Clark, Rogério G. R. Cruz, George R. Donaldson, Ini B. Ekong, Christian H. Fingerle, Craig G. Fisher, Jerryl L. Garns, M. Keith Giddens, Allen D. Haynie, Jui Chang Juan, George M. Keele, Von G. Keetch, Katsumi Kusume, German Laboriel, J. Christopher Lansing, Gustavo Lopez, Dmitry V. Marchenko, Peter F. Meurs, T. Jackson Mkhabela, Hugo Montoya, Valentín F. Nuñez, Hee Keun Oh, Jeffery E. Olson, R. Ingvar Olsson, Norbert K. Ounleu, Robert N. Packer, Nathaniel R. Payne, Cesar A. Perez Jr., Michael J. Reall, Edson D. G. Ribeiro, Brad K. Risenmay, Walter C. Selden, Mozart B. Soares, Carlos Solis, Norland Souza, Vern P. Stanfill, T. Marama Tarati, Kouzou Tashiro, Ruben D. Torres, Omar Villalobos, Jack D. Ward, Alan J. Webb, Gerardo J. Wilhelm, na Jim L. Wright.

Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe kwa moyo mkujufu Ndugu David L. Beck, Larry M. Gibson, na Randall L. Ridd kama urais wa Wavulana. Vile vile tunawapumzisha washiriki wote wa board kuu ya Wavulana.

Katika nafasi hii pia tunawapumzisha Dada Jean A. Stevens kama mshauri wa kwanza katika urais mkuu wa Msingi na Dada Cheryl A. Esplin kama mshauri wa pili katika urais mkuu wa Msingi.

Wale wote wanaotaka kujiunga nasi katika kutoa shukrani kwa hawa kina ndugu na dada hawa kwa huduma yao ya ajabu na kujitolea, tafadhali onyesheni.

Imependekezwa kwamba tuidhinishe kama washiriki wapya wa Akidi ya Kwanza ya Sabini Kim B. Clark, Von G. Keetch, Allen D. Haynie, Hugo Montoya, na Vern P. Stanfill.

Wote wanaokubaliana, tafadhali onyesheni.

Wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.

Imependekezwa kwamba tuidhinishe Sabini wa Eneo wapya wafuatao: Nelson Ardila, Jose M. Batalla, Lawrence P. Blunck, Bradford C. Bowen, Mark A. Bragg, Sergio Luis Carboni, Armando Carreón, S. Marc Clay Jr., Z. Dominique Dekaye, Osvaldo R. Dias, Michael M. Dudley, Mark P. Durham, James E. Evanson, Paschoal F. Fortunato, Patricio M. Giuffra, Daniel P. Hall, Toru Hayashi, Paul F. Hintze, J. K. Chukwuemeka Igwe, Seung Hoon Koo, Ming-Shun Kuan, Johnny L. Leota, Carlo M. Lezano, Joel Martinez, J. Vaun McArthur, Kyle S. McKay, Helamán Montejo, A. Fabio Moscoso, Michael R. Murray, Norman R. Nemrow, S. Mark Palmer, Ferdinand P. Pangan, Jairus C. Perez, Steven M. Petersen, Wolfgang Pilz, Jay D. Pimentel, John C. Pingree Jr., Edvaldo B. Pinto Jr., Evan A. Schmutz, K. David Scott, Paul H. Sinclair, Benjamin T. Sinjoux, Rulon F. Stacey, David L. Stapleton, Karl M. Tilleman, William R. Titera, Seiji Tokuzawa, Carlos R. Toledo, Cesar E. Villar, Juan Pablo Villar, David T. Warner, Gary K. Wilde, na Robert K. William.

Wote wanaokubaliana, tafadhali onyesheni.

Wale wanaopinga, ikiwa kuna yeyote.

Inapendekezwa kwamba tumwidhinishe Cheryl A. Esplin sasa ahudumu kama mshauri wa kwanza katika urais mkuu wa Msingi na Mary L. Durham ahudumu kama mshauri wa pili.

Pia inapendekezwa kwamba tumwidhinishe Ndugu Stephen W. Owen kama rais mkuu wa Wavulana, pamoja na Douglas Dee Holmes kama mshauri wa kwanza na Monte Joseph Brough kama mshauri wa pili.

Wale wanaokubaliana tafadhali onyesheni.

Wowote wanaopinga wanaweza kuashiria hivyo.

Rais Monson, kura imenukuliwa. Tunawaalika wowote waliopinga mapendekezo yoyote yale kuwasiliana na rais wao wa kigingi. Kina ndugu na dada, tunashukuru imani yenu na sala kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.

Tunawaalika Viongozi wapya Wenye Mamlaka na washiriki wa urais mkuu makundi saidizi wapya sasa waketi kwenye jukwaa.