Misaada ya Kujifunza
Mwongozo wa Marejeo kwenye Biblia Takatifu


Mwongozo wa Marejeo kwenye Biblia Takatifu

Biblia imegawanywa katika sehemu mbili: Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale ni kumbukumbu takatifu za mahusiano ya Mungu na watu Wake wa agano katika Nchi Takatifu. Inajumuisha mafundisho ya manabii kama Musa,Yoshua, Isaya, Yeremia, na Danieli. Agano Jipya limeandika kumbukumbu ya kuzaliwa, huduma ya kidunia, Upatanisho, na Ufufuo wa Mwokozi. Linahitimisha na huduma ya Mtume wa Mwokozi.

Mwongozo huu unatoa msaada wa marejeo ya kibibilia yaliyowekwa chini ya makundi yenye vichwa vya habari vifuatavyo:

  • Uungu

  • Mada za Injili

  • Watu

  • Mahali

  • Matukio

Kwa misaada ya kujifunza ya ziada, ona Mwongozo kwenye Maandiko, yaliyochapishwa na Kitabu cha Mormoni, Mafundisho na Maagano, na Lulu ya Thamani Kuu.

Uungu

Mada za Injili

Watu

Mahali

Ona pia ramani na picha kufuatia mwongozo huu wa marejeo ya Biblia.

Matukio