Jinsi ya Kuangalia


Pleya ya Vyombo vya Habari vya LDS (video)

Nini masharti ya mfumo wa kuangalia yaliyomo kwenye Video kwa kutumia pleya ya vyombo vya habari vya LDS (Video)

Unatakiwa uwe na mojawapo ya vifuatavyo, Intaneti, brouza, na tafsiri za flashi zilizofungwa katika kompyuta yako.

Angalizo: Kama flashi yako inaendelea na mgongano, tafadhali lemaza mchapuo wa vifaa vya flashi. Hii inatakiwa kusimamisha mgongano na kuruhusu chombo kinachorudisha nyuma video kuendelea. Tafadhali angalia maelekezo jinsi ya kufanya hivi.

 

Windows PC

Mac

Brouza

 • Krome
 • Firefox 3 .0 . au ya juu zaidi
 • Mpelelezi wa Intaneti 6 SP1
 • Mpelelezi wa Intaneti 7
 • Internet Explorer 8
 • Safari 3 .2 . 2 au ya juu zaidi
 • Safari 4 au ya juu zaidi
 • Kromu
 • Firefox 3 . 0 .1 au ya juu zaidi
 • Safari 3. 2.1 au ya juu zaidi
 • Safari 4 au ya juu zaidi

 

 

Flashi

 • Flashi Player 10
 • Flashi Player 10

Angalizo:Kuna matatizo yanayojulikana kwa Flashi tafsiri 10.1.85.3. Tafadhali pandisha daraja mpaka kwenye tafsiri ya kisasa ya Flashi kama unakumbana na matatizo kuangalia yoliyomo kwenye video kwa kutumia player ya vyombo vya habari vya LDS.

Pia tumegundua tatizo kwenye iOS 4.3x. Baada ya kubofya kitufe cha kucheza,tafadhali subiri kwa sekunde chache wakati ina pakia na kisha itacheza. Wakati ina pakia,tafadhali usibofye kitufe cha katikati cha kucheza tena au chochote ambacho kitaonesha Kwenye kona. Hii hutokea tu kwenye 4.3x


Kwa nini video wakati mwingine huwa na kigugumizi au kusita wakati wa kurudia kucheza?

Video inaweza kuwa na kigugumizi au kusita wakati wa kurudia kucheza kama muunganisho wa intaneti yako sio wa haraka inayotosha au kama kompyuta yako ina proccessor iendayo polepole isivyo Kawaida au RAM ndogo (kumbukumbu). Hata katika miunganisho ya broadband,Msongamano wa Intaneti au usafirishaji unaweza kuwa na matokeo ya mawimbi mawimbi katika kurudia kucheza au marudio ya kinga.

Nawezaje kushiriki kiungo kwa video maalumu?

Tumia video ya ushirikiano au Pata kiungo chaguzi kutoka vitufe vya menu rollover kwenye pleya. Unaweza kunakili kiungo na ukibandike katika ujumbe wa barua pepe au ukurasa wa mtandao.

“Get Code“ inafanya nini?

Get Code uchaguzi unakuruhusu kunakili mfumo wa kanuni wa HTML kwa pleya na kuibandika ndani ya ukurasa wako wa mtandao. Ungeweza kutumia uchaguzi huu kufanya pleya ya vyombo vya habari vya LDS sehemu ya ukurasa wako Wa mtandao.

Pleya ya vyombo vya habari vya LDS vinaonesha onyo inayosema unahitaji kupandisha daraja Flashi Pleya. Jinsi gani naweza kupandisha daraja?

Pleya ya vyombo vya habari itaonesha ujumbe ambao unaonekana kama hivi:

Unaweza kubofya kwenye ujumbe ili upate uchaguzi wa kisasa wa flashi pleya kutoka Adobe

Pleya ya vyombo vya habari vya LDS haioneshi kisawasawa au inaonesha video isio sahihi. Jinsi gani naweza kutengeneza hii?

Brouza ya mtandao wako inawezekana inaonesha taarifa zilizofichwa(au za zamani). Kusafisha taarifa za zamani kwenye brouza yako na kuona tafsiri za kisasa katika kurasa uliopo, bofya CTRL +F5 kwa Windows au COMMAND +SHIFT+R kwa Mac.

Windows Media Player (Video au Audio peke yake)

LDS.org hutumia Windows Media Player kutoka Microsoft kutoa video na audio streams. Kuangalia au kusikiliza video au audio streams, utatakiwa uwe na Windows Media player iliyofungwa Kwenye kompyuta yako kama ulikuwa bado huna.

Kujaribu kama una Windows Media player kwenye compyuta yako au la, bofya kipimo cha Windows Media Player. Kama kidirisha kidogo kitajitokeza na ukasikia sauti, tayari una pleya. Kama brouza yako inaonesha kwamba huna plug-in ya lazima au helper application, ndipo unaweza Ku download Windows Media Player bure.