Mwonekano wa pleya


mwonekano wa player ya video
  1. Taarifa za Video
    Hutoa taarifa kuhusu video inayochezwa.
  2. Shiriki
    Inakuruhusu kushiriki video kwa kunakili kiungo na kushiriki kupitia barua pepe au IM Unaweza pia kushiriki kwa kutumia Facebook au Twitter.
  3. Kiungo
    Kinakuruhusu kunakili na kushiriki kiungo kwa kiungo .
  4. Iliyo tiwa ndani
    Inakuruhusu kunakili mfumo wa kanuni za pleya zilizowekwa ndani na kumjumuisha pleya kwenye mtandao au blogi .
  5. Cheza/kitufe cha mapumziko
  6. Kiongozaji
    Kiongozaji kinakuonesha muda wa mfumo wa video na kinakuruhusu kusogeza kwenye alama katika video kwa kusugua mbele na nyuma.
  7. Kitufe cha umeme cha DVR
    Wakati unaangalia mfululizo wa moja kwa moja wa video, unaweza kusugua kwenda pointi iliyotangulia katika video au bofya kitufe cha mapumziko, kitufe chenye umeme kitabadilika kijivu. Kusukuma kitufe chenye umeme tena kitarusha video na kuiwasha na kitufe kitarudi kuwa kiajani wakati video inaangaliwa. (Wakati wa kuangalia video inayohitajika,kitufe chenye umeme kitakuwa hakifanyi kazi na unaweza kusugua kwenda pointi yeyote katika video).
  8. Maelezo mafupi yaliyofungwa
    Bofya kitufe hiki kuona pamoja na maelezo mafupi yaliyofungwa. Kuona maelezo mafupi yaliyo fungwa kwenye chombo cha iOS fuata maelekezo haya:

    • Bofya “Mipangilio”
    • Bofya “Video”
    • Swichi “Maelezo mafupi yaliyofungwa”kwenda “ON”
  9. Skrini nzima
    Bofya kitufe hiki ili uone video skrini mzima.

  10. Sauti
    Bofya kitufe hiki kudhibiti sauti.