2010–2019
Kuidhinisha Maafisa wa Kanisa
Oktoba 2013


Kuidhinisha Maafisa wa Kanisa

Imependekezwa kwamba tumwidhinishe Thomas Spencer Monson kama nabii, mwonaji, na mfunuaji na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza, na Dieter Friedrich Uchtdorf kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wale wanaopendelea wanaweza kudhihirisha.

Wanaopinga, ikiwa kunao, wanaweza kudhihirisha

Imependekezwa kwamba tuidhinishe Boyd Kenneth Packer kama Rais wa Jamii ya Wale Mitume Kumi na Wawili, na wafuatao kama washiriki wa jamii hiyo: Boyd K. Packer, L. Tom Perry, Russell M. Nelson, Dallin H. Oaks, M. Russell Ballard, Richard G. Scott, Robert D. Hales, Jeffrey R. Holland, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, na Neil L. Andersen.

Wale wanaopendelea, tafadhali dhihirisheni.

Wanaopinga, ikiwa kunao, wanaweza kudhihirisha.

Imependekezwa kwamba tuidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuaji.

Wote wanaopendelea, tafadhali dhihirisheni.

Kinyume, ikiwa kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Imependekezwa kwamba tuachilie Wazee  B. Dickson, Paul E. Koelliker, na F. Michael Watson kama washiriki wa Jamii ya Kwanza ya Wale Sabini na kuwachagua kama Viongozi Wakuu waliostaafu.

Imependekezwa kwamba tuachilie Mzee Kent D. Watson kama mshiriki wa Jamii ya Pili ya Wale Sabini:

Vivyo hivyo tungependa kuonyesha shukrani zetu kwa Wazee César H. Hooker na Craig T. Wright, ambao wameachiliwa kutoka kwa huduma yao kama Sabini wa Eneo.

Wale wanaotaka kuungana pamoja nasi katika kudhihirisha shukrani kwa Ndugu hawa kwa huduma yao bora, tafadhali dhihirisheni.

Imependekezwa kwamba tuidhinishe wafuatao kama Sabini wa Eneo: Julio A. Angulo, Peter F. Evans, na Gennady N. Podvodov.

Wote wanaopendelea, tafadhali dhihirisheni.

Wanaopinga, ikiwa kunao

Imependekezwa kwamba tuidhinishe Randall L. Ridd kama mshauri wa pili katika urais mkuu wa Wavulana.

Wote wanaopendelea, wanaweza kudhihirisha.

Wanaopinga wanaweza kudhihirisha

Imependekezwa kwamba tuidhinishe Viongozi Wengine Wenye Mamlaka, Sabini wa Eneo, marais wasaidizi wakuu kama ilivyoundwa sasa.

Wote wanaopendelea, tafadhali dhihirisheni.

Wanaopinga wanaweza kudhihirisha

Asanteni, ndugu na kina dada, kwa kura yenu ya idhinisho na kwa imani yenu ya kudumu na maombi kwa niaba yetu.