2010–2019
Ripoti ya Takwimu, 2015
Aprili 2016


Ripoti ya Takwimu, 2015

Urais wa Kwanza umetoa ripoti ya takwimu ya Kanisa ifuatayo kufikia Disemba 31, 2015.

Vitengo vya Kanisa

Vigingi

3,174

Misheni

418

Wilaya

558

Kata na matawi

30,016

Waumini wa Kanisa

Jumla ya Waumini

15,634,199

Watoto Wapya wa Kumbukumbu

114,550

Waongofu Waliobatizwa

257,402

Wamisionari

Wamisionari wa Muda

74,079

Wamisionari wa Huduma za Kanisa

31,779

Mahekalu

Mahekalu yaliyowekwa wakfu katika mwaka wa 2015: (Córdoba Argentina, Payson Utah, Trujillo Peru, Indianapolis Indiana, na Tijuana Mexico)

5

Mahekalu yaliyowekwa wakfu upya (Mexico City Mexico na Montreal Qeubec)

2

Mahekalu Yanayofanya Kazi Kufikia Mwishoni wa Mwaka

149