2010–2019
Kuidhinishwa kwa Maafisa wa Kanisa
Aprili 2016


Kuidhinishwa kwa Maafisa wa Kanisa

Ndugu na dada, Rais Monson ameniomba mimi kuyawasilisha majina ya Maafisa Wakuu na Sabini wa Eneo kwenu kwa ajili ya kuwaidhinisha.

Imependekezwa kwamba tumuidhinishe Thomas Spencer Monson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Dieter Friedrich Uchtdorf kama Mshauri wa Pili wa Urais wa Kwanza

Wale wanaokubali, wanaweza kuonyesha ishara.

Wale wanaopinga, kama kuna yeyote, anaweza kuonyesha ishara.

(Kura imepokelewa.)

Imependekezwa kwamba tumuidhinishe Russell M. Nelson kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na wafuatao kama washiriki wa Akidi hiyo: Russell M. Nelson, Dallin H. Oaks, M. Russell Ballard, Robert D. Hales, Jeffrey R. Holland, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, na Dale G. Renlund.

Wale wanaokubali, wanaweza kuonyesha ishara.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha ishara.

(Kura imepokelewa.)

Imependekezwa kwamba tuwaidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, wafunuzi na waonaji.

Wote wanaokubali, tafadhali waonyeshe ishara.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

(Kura imepokelewa.)

Imependekezwa kwamba tuwapumzishe wafuatao kama Sabini wa Eneo, kuanzia Mei 1, 2016: Manuel M. Agustin, Kent J. Allen, Stephen B. Allen, W. Mark Bassett, Patrick M. Boutoille, Mark A. Bragg, Marcelo F. Chappe, Eleazer S. Collado, Valeri V. Cordón, Joaquin E. Costa, Jeffrey D. Cummings, Massimo De Feo, Donald D. Deshler, Nicolas L. Di Giovanni, Jorge S. Dominguez, Gary B. Doxey, David G. Fernandes, Hernán D. Ferreira, Moroni Gaona, Jack N. Gerard, Ricardo P. Giménez, Douglas F. Higham, Brent J. Hillier, Robert W. Hymas, Lester F. Johnson, Matti T. Jouttenus, Chang Ho Kim, Alfred Kyungu, Dane O. Leavitt, Remegio E. Meim Jr., Ismael Mendoza, Cesar A. Morales, Rulon D. Munns, Ramon C. Nobleza, S. Mark Palmer, Fouchard Pierre-Nau, Gary B. Porter, José L. Reina, Esteban G. Resek, George F. Rhodes Jr., Gary B. Sabin, Evan A. Schmutz, D. Zackary Smith, Lynn L. Summerhays, Wenceslao H. Svec, Craig B. Terry, Ernesto R. Toris, Fabian I. Vallejo, Emer Villalobos, J. Romeo Villarreal, na Terry L. Wade.

Wale wanaopendelea kuungana nasi kutoa shukrani kwa huduma yao bora, tafadhali waonyeshe ishara.

Imependekezwa kwamba tuwapumzishe kwa moyo wa shukrani Dada Rosemary M. Wixom, Cheryl A. Esplin, na Mary R. Durham kama urais mkuu wa Msingi. Vile vile tunawapumzisha washiriki wa bodi kuu ya Msingi.

Wale wote wanaopenda kuungana nasi kutoa shukrani kwa akina dada hawa kwa huduma yao bora, tafadhali waonyeshe ishara.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe kama Sabini Viongozi Wakuu wenye Mamlaka W. Mark Bassett, Mark A. Bragg, Weatherford T. Clayton, Valeri V. Cordón, Joaquin E. Costa, Massimo De Feo, Peter F. Meurs, K. Brett Nattress, S. Mark Palmer, Gary B. Sabin, na Evan A. Schmutz.

Wote wanaokubali, tafadhali waonyeshe ishara.

Wale wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.

Imependekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Sabini wa Eneo: P. David Agazzani, Quilmer A. Agüero, René R. Alba, Victorino A. Babida, Steven R. Bangerter, Richard Baquiran, Dong Chol Beh, Michael V. Beheshti, Matthieu Bennasar, Hubermann Bien-Aimé, Kevin E. Calderwood, Luis J. Camey, Matthew L. Carpenter, Douglas B. Carter, Aroldo B. Cavalcante, Luis C. Chaverri, Ulises Chávez, Brent J. Christensen, Douglas L. Dance, Marc C. Davis, Alessandro Dini Ciacci, J. Scott Dorius, M. Dirk Driscoll, Antonio F. Faúndez, Jose A. Fernández, Matias D. Fernandez, Candido Fortuna, Bruce E. Ghent, Michael A. Gillenwater, Daniel G. Hamilton, Mathias Held, Tom-Atle Herland, Raymond S. Heyman, Christophe Kawaya, Todd S. Larkin, Pedro X. Larreal, Juan J. Levrino, Felix A. Martinez, Kevin K. Miskin, Mark L. Pace, Ryan V. Pagaduan, A. Moroni Pérez, Carlos E. Perrotti, Mark P. Peteru, Alan T. Phillips, Thomas T. Priday, Brian L. Rawson, Rene Romay, Blake M. Roney, Luis G. Ruiz, Maximo A. Saavedra Jr., Pedro A. Sanhueza, Eric J. Schmutz, Benjamin Ming Tze Tai, Heber D. Texeira, Maxsimo C. Torres, Jesús Velez, Carlos Villarreal, Paul H. Watkins, C. Dale Willis Jr., William B. Woahn, na Luis G. Zapata.

Wote wanaokubali, tafadhali waonyeshe ishara.

Wale wanaopinga, kama kuna yeyote.

Imependekezwa kwamba tuwaidhinishe Joy D Jones kuhudumu kama rais mkuu wa Msingi, pamoja na Jean B. Bingham kama mshauri wa kwanza na Bonnie H. Cordon kama mshauri wa pili.

Wale wanaokubali waonyeshe ishara.

Kama kuna yeyote anayepinga aonyeshe ishara.

Imependekezwa kwamba tuwaidhinishe Viongozi Wakuu, Sabini wa Eneo, na urais mkuu wa vikundi saidizi kama ilivyo sasa.

Wote wanaokubali, tafadhali waonyeshe ishara.

Wale wanaopinga, kama kuna yeyote.

Rais Monson, upigaji kura umepokelewa. Tunawaomba wale waliopinga mapendekezo yoyote kuwasiliana na marais wao wa vigingi.

Tunawashuru ninyi nyote ambao mmewaidhinisha viongozi wa Kanisa katika miito yao mitakatifu, na sisi sasa tunawaalika wale Viongozi Wakuu wenye Mamlaka na urais wa Msingi waje mbele wachukue viti vyao kwenye jukwaa.