2010–2019
Ripoti ya Takwimu, 2016
Aprili 2017


Ripoti ya Takwimu, 2016

Urais wa Kwanza umetoa ripoti ya takwimu ya Kanisa ifuatayo kufikia Disemba 31, 2016.

Vitengo vya Kanisa

Vigingi

3,266

Misheni

421

Wilaya

556

Kata na Matawi

30,304

Waumini wa Kanisa

Jumla ya Waumini

15,882,417

Watoto Wapya wa Kumbukumbu

109,246

Waongofu Waliobatizwa

240,131

Wamisionari

Wamisionari wa Muda

70,946

Wamisionari wa Huduma za Kanisa

33,695

Mahekalu

Mahekalu Yaliyoweka wakfu katika mwaka 2016 (Provo City Center, Sapporo Japan, Philadelphia Pennsylvania, Fort Collins Colorado, Star Valley Wyoming, na Hartford Connecticut)

6

Mahekalu yaliyowekwa wakfu upya (Suva Fiji na Freiberg Germany)

2

Mahekalu Yanayofanya Kazi Kufikia Mwishoni wa Mwaka

155