2015
Yesu Awaponya Wagonjwa
Aprili 2015


Michoro ya Maandiko

Yesu Awaponya Wagonjwa

Marko 1:40–42; Luka 4:38–40

Gandisha karatasi hii kwenye karatasi nzito au kadibodi. Kisha kata maumbo na kuyanatisha katika vijiti au mifuko ya karatasi. Yatumie kuwasaidia kuigiza hadithi kutoka katika Agano Jipya.

Picha
Jesus Heals the Sick

Umati

Yesu Kristo

Mwenye Ukoma

Mama Mkwe wa Petro

Vilelezo na Beth M. Whittaker