Liahona, Aprili 2015 Ujumbe 4 Ujumbe wa Urais wa Kwanza: Rais Monson Ahimiza Ujasiri Na Rais Thomas S. Monson 7 Ujumbe wa Mwalimu Mtembeleaji: Sifa za Yesu Kristo—Bila Hila ama Unafiki Makala ya Habari Maalumu 14 Ushawishi wa Kiroho wa Wanawake Na Starla Awerkamp Butler Ushawishi wako kama mwanamke unafikia mbali zaidi ya kile kinachoweza kuonekana. 20 Si dhambi kuwa Mdhaifu Na Wendy Ulrich Jifunze jinsi ya kutofautisha kati ya dhambi na udhaifu na jinsi ya kubadilisha udhaifu kuwa nguvu. 26 Dini Safi Na Mzee W. Christopher Waddell Soma hatua hizi tatu zinazokuelekeza katika huduma isiyo na ubinafsi. 30 Nina Haja Nawe Kila Saa Na Jonathan H. Westover Kuimba wimbo kulifanya mabadiliko yote kwa familia hii ya Kikorea iliyokuwa inachunguza Kanisa. 34 Dhabihu Takatifu ya Mwokozi Isiyo na Ubinafsi Na Rais Boyd K. Packer Kupitia Upatanisho wa Mwokozi tunaweza kulipia akaunti zetu za kiroho za dhambi na hatia. 80 Miaka 100 ya Jioni ya Familia Nyumbani Mnamo 1915 Rais Joseph F. Smith na washauri wake waliwaalika waumini kuanza kufanya jioni ya familia nyumbani, wakielezea utaratibu, malengo, na baraka zake. Idara 8 Tunazungumza Kuhusu Kristo Nguvu ya Imani Na Amber Barlow Dahl 10 Nyumba Zetu, Familia Zetu Jioni ya Familia Nyumbani—Mnaweza Kuifanya! 12 Fasihi za Injili Amefufuka Na Rais David O. McKay 40 Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Vijana Wazima 44 Endeleeni kwa Imani Na Mzee Anthony D. Perkins Jifunze kutoka kwa Nefi nini cha kufanya unapokabiliwa na maamuzi muhimu. Vijana 49 Bango Mtafute Yeye 50 Kwa Sababu ya Joseph Na Ted Barnes Kwa uchache kuna karibu njia hizi sita ambazo kwazo, maisha yako yamekuwa tofauti kwa sababu ya Nabii Joseph Smith 53 Nabii Aliye Hai Na Rais Ezra Taft Benson Adamu? Nefi? Musa? Huenda ukashangazwa kujifunza ni nabii gani aliye muhimu zaidi 54 Mfano wa Mwokozi wa Utiifu Namna tisa ambazo Yesu Kristo alituwekea njia tufuate. 58 Nafasi Yetu 60 Jinsi ya Kuwa na Hekima Na Mzee Neil L. Andersen Nini tofauti kati ya hekima ya ulimwengu na hekima ya Mungu? 61 Kwa Ufahamu 62 Kundi Moja na Mchungaji Mmoja Kuelewa kila kitu kwa ukamilifu juu ya kazi ya mchungaji kunaweza kutuleta karibu na Mwokozi. 64 Maswali na Majibu Ninawezaje kupata urahisi wa kuzungumza na askofu wangu kuhusu hojaama matatizo yangu? Watoto 66 Ni Nani Shujaa Wako? Na Charlotte Mae Sheppard Ellie alikuwa na uoga wa kuliambia darasa nani aliyekuwa shujaa wake wa kweli. 68 Sala na Makanisa Makuu Na McKelle George Wakati Dani alipotembelea kanisa kuu kule Uingereza, alijifunza somo muhimu kuhusu sala. 70 Shahidi Maalum Ni kwa nini kuwa mtiifu ni muhimu sana? Na Mzee Russell M. Nelson 71 Wazo Zuri 72 Wakati wa Maandiko Yesu amponya Mwenye Ukoma Na Erin Sanderson 74 Michoro ya Maandiko Yesu Awaponya Wagonjwa 75 Njia Sahihi Na Elder Claudio D. Zivic Kufuata njia sahihi kunaleta mabadiliko yote. 76 Kwa Watoto Wadogo Ninajua Kwamba Yesu Ananipenda Na Jane McBride Choate