-
12
Mzee Ronald A. Rasband: Kiongozi Mwenye Kipaji, Baba Mwenye Kujitoa
Na Mzee M. Russell Ballard
Mume na baba mwenye upendo, Mzee Rasband alikuza ujuzi wa uongozi kupitia miaka ya unasihi kutoka kwa viongozi wafanisi wa kibiashara na ukuhani.
-
18
Yeye ni Askofu?
Nilielewa ni kwa nini hakuweza kuamini nilikuwa sasa nahudumu kama askofu. Miaka thelathini iliyopita nilikuwa mtu tofauti sana.
-
20
Tafsiri ya Maandiko: Hadi katika Lugha ya Moyo Wetu
Kusoma maandiko katika lugha yetu wenyewe ni kama kuja nyumbani kiroho.
-
26
Nyakati za Wamisionari Wakubwa
Na Rais Russell M. Nelson
Tafadhali sali kuhusu hii nafasi ya kujenga nyakati zuri za wamisionari wakubwa pamoja.
-
28
Wamisionari Wakubwa: Hitajika, Barikiwa, na Pendwa
Wanandoa hugundua kuwa kuhudumu misheni ni rahisi, sio ghali sana, na kunafurahisha zaidi kuliko walivyokuwa wakidhani.
-
34
Wakati ambapo Pornografia Inaathiri Nyumba—Wake na Waume Wote Wanahitaji Kuponywa
Askofu anaeleza jinsi anavyowasaidia sio tu waume ambao wanapambana na pornografia bali pia wake zao, ambao vile vile wanahitaji uponyaji wa Mwokozi.
-
38
Walinzi Juu ya Mnara
Imarisha kuelewa kwako kwa manabii kwa kujifunza jinsi wao ni kama walinzi juu ya minara.