2016
Mafundisho ya Wakati Wetu
Mei 2016


Mafundisho ya Wakati Wetu

Kuanzia Mei 2016 hadi Oktoba 2016, masomo ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama katika Jumapili ya nne lazima yaandaliwe toka kwenye mojawapo ya hotuba zilizotolewa kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2016. Mwezi Oktoba 2016, hotuba zinaweza kuchukuliwa toka kwenye mkutano mkuu wa Aprili au Oktoba. Marais wa wilaya na vigingi wanachagua ni hotuba gani zitatumika kwenye maeneo yao, au wanaweza kutoa majukumu kwa maaskofu au marais wa matawi.

Hotuba hizi zinapatikana katika lugha nyingi katika conference.lds.org.