2016
Msaada wa Baba wa Mbinguni
Juni 2016


Watoto

Msaada wa Baba wa Mbinguni

Kwa sababu Baba wa Mbinguni anatupenda, Ametupa nyenzo nyingi, au vipawa, ili kutusaidia. Hapo chini kuna baadhi ya karama ambazo ametupatia sisi. Unawezaje kutumia karama hizi ili kubariki maisha yako na kuwabariki wengine?

  • nguvu za ukuhani

  • maombi

  • kuwapenda wengine

  • mitume na manabii

  • maandiko