Liahona, Aprili 2017 Ujumbe Ujumbe wa Urais wa Kwanza: Wenye Haki Wataishi kwa Imani Na Rais Dieter F. Uchtdorf Ujumbe wa Mwalimu Mtembeleaji: Kiapo na Agano la Ukuhani Makala ya Habari Maalumu Upatanisho wa Mwokozi: Msingi wa Ukristo wa Kweli Na Mzee Robert D. Hales Kwa sababu Yeye anaishi, sisi wote tutaishi tena. Kufufuka kwa Yesu Kristo na kweli kuhusu Mwili Wake Na David A. Edwards Ufufuko wa Yesu Kristo hutufundisha kweli muhimu kuhusu asili takatifu na ya milele ya mwili. Daraja la kwenda kwenye Tumaini na Uponyaji Na Nanon Talley Jinsi gani wewe au mpendwa wako mnaweza kupata amani, matumaini, na uponyaji baada ya kitu kiovu na cha kutia kiwewe kama unyanyasaji wa kijinsia? Albamu ya Zamani ya Familia: Nguvu ya Hadithi za Familia Na Amrieris Puscasu Hadithi n maisha ya mababu zangu vinaendelea kuniimarisha. Vita inaendelea Na Mzee Larry R. Lawrence Mzee Lawrence anaelezea mikakati minne kati ya mikakati ya Shetani na jinsi ya kujikinga nayo. Idara Muziki Njooni, Njooni Kwake na Steven K. Jones na Michael F. Moody Taswira za Imani Skaidrite Bokuma Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Mpaka Tutakapo Kutana Tena Nguvu za Mungu. Na Mzee Bruce R. McConkie Vijana Wakubwa Kuelewa Baraka Yako ya Kipatriaki Na Allie Arnell na Margaret Willden Baraka za Kipatriaki ni kama ramani za barabara zetu binafsi. Hapa ni baadhi vidokezo kwa ajili ya kuongoza njia zako. Kujitayarisha kwa ajili ya Safari Mpya Na Karina Martins Pereira Correia de Lima Mashaka na woga kuhusu kuanza familia yangu mwenyewe kunanitia wasiwasi. Ningewezaje kupata amani? Vijana Nawezaje Kujifunza Akilini mwangu na Moyoni mwangu? Njia ya Bwana ni ipi ili kupata majibu ya maswali yangu na uelewa mzuri wa maandiko? Fanya Ujumbe kuwa Wako katika Kujifunza Kwako Injili Jifunze jinsi unavyoweza kuutumia vyema zaidi muda wako wa mafunzo ya injil. Majibu kutoka kwa Viongozi wa Kanisa Jinsi ya Kupata Amani ya Kweli Na Mzee Quentin L. Cook Vitabu vilivyo Sahaulika, Ushuhuda Unaokumbukwa Na Abegail D. Ferrer Siku niliyoombwa kuelezea taarifa kuhusu Kanisa ndiyo siku hiyo hiyo nilisahau vitabu vyangu vya Kanisani. Je maneno yangu ya kawaida yangetosha? Wao walimwona Soma shuhuda hizi za Mwokozi mfufuka na ona jinsi wewe unavyoweza kuwa shahidi wa Kufufuka Kwake pia. Nafasi Yetu Bango Songa Mbele, Askari wa Kikristo Maswali na Majibu Je ni kwa Namna Gani naweza kujua Mungu anasikiliza maombi yangu? Watoto Andrea na Neno Baya Na Julie C. Donaldson Neno moja dogo baya lisingekuharibu sana, sawa? Majibu kutoka kwa Mtume Ninawezaje kuisaidia familia yangu kuwa imara? Na Mzee David A. Bednar Jitayarishe kwenda Hekeluni Kila Siku Na Joy D. Jones Jifunze kuhusu jinsi Dada Jones alivyoweka lengo muhimu. Star anang’ara Na Jane McBride Star alikuwa na woga kuhusu kwenda darasa la watoto wa Msingi. Je angeweza kumpata rafiki? Kuwa Nuru! Na Elizabeth Pinborough Njia nane za kuwa rafiki mwema. Vigogo wa Historia ya Kanisa Kueneza Injili Kumfikiria Yesu Na Lindsay Tanner Mia anajifunza kuhusu sakramenti. Hadithi za Yesu Yesu alitupa Sakramenti Na Kim ‘Webb Reid Maua meupe ya Pasaka