2018
Kaa tayari kwa mkutano!
March 2018


Watoto

Kaa tayari kwa mkutano!

Andika ushawishi huu kwenye kipande cha karatasi. Kaa na karatasi wakati wa mkutano ili uweze kuandika kile unachojifunza.

  • Andika maswali yako. Ninajiuliza kuhusu …

  • Omba kwa Baba wa Mbinguni. Ningependa msaada wa kujifunza kuhusu …

  • Sikiliza mkutano mkuu Nimejifunza …