2021
Yesu Kristo Alilipa Jina Kanisa Lake
Oktoba 2021


“Yesu Kristo Alilipa Jina Kanisa Lake,” Rafiki Okt. 2021.

Ujumbe wa Kila mwezi wa Rafiki Oktoba 2021

Yesu Kristo Alilipa Jina Kanisa Lake

Picha
Yesu Kristo
Picha
Joseph Smith

Yesu Kristo alimwambia Joseph Smith vile ataliita Kanisa. Alisema lingeitwa “Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho.”

Picha
Nyumba ya Kanisa ya mikutano.

Maneno Yesu Kristo ni sehemu muhimu sana ya jina la Kanisa. Kwa vile ni Kanisa la Yesu Kristo, limeitwa kwa jina Lake.

Picha
watoto wakishikilia nakala za Kitabu cha Mormoni

Watakatifu wa Siku za Mwisho humaanisha waumini wa Kanisa hivi leo.

Picha
mwanamke na mtoto wakiangalia mkutano mkuu

Manabii na mitume wamefundisha kwamba kutumia jina sahihi la Kanisa ni muhimu. Huwasaidia wengine kujua tunaamini katika Yesu Kristo.

Picha
watoto wakitazama picha ya kuchora ya Yesu Kristo.

Wakati wengine wanaponiuliza ninaamini nini, mimi husema, “Ninaamini katika Yesu Kristo. Mimi ni wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho.

Ukurasa wa Kupaka Rangi

Ninaamini katika Yesu Kristo.

Picha
watoto wakishikilia picha ya Yesu Kristo

Bonyeza kwenye picha ili kupakua.

Kielelezo na Apryl Stott

Nini kinakusaidia kujifunza kuhusu Yesu?