Liahona
Liahona
Februari 2024


“Liahona,” Rafiki, Feb. 2024, 26–27.

Ujumbe wa kila mwezi wa gazeti la Rafiki, Februari 2024

Liahona

Picha
alt text

Vielelezo na Andrew Bosley

Bwana alimwambia Lehi kwenda kwenye nchi ya ahadi pamoja na familia yake. Lakini hawakuwa na uhakika wa jinsi gani ya kufika huko.

Picha
alt text

Bwana alimpa Lehi kifaa maalumu. Kilikuwa kama dira. Kilionesha njia ambayo walitakiwa kwenda. Walikiita Liahona.

Picha
alt text

Walipozishika amri, Liahona ilifanya kazi. Iliwaongoza kwenye chakula na usalama. Lakini walipobishana na kutotii, iliacha kufanya kazi.

Picha
alt text

Familia ya Lehi waliifuata Liahona , hivyo waliweza kufika kwenye nchi ya ahadi. Tunapofanya uchaguzi ulio sahihi, Baba yetu wa Mbinguni Atatuongoza pia.

Ukurasa wa Kupaka Rangi

Ninaweza kubatizwa kama Yesu

Picha
alt text

Kielelezo na Adam Koford

Unawezaje kujiandaa kwa ajili ya kubatizwa?