Misaada ya Kujifunza
TJS, Kutoka 32


TJS, Kutoka 32:14. Linganisha na Kutoka 32:14

Bwana atawasemehe Waisraeli watakao tubu.

14 Na Bwana akamwambia Musa, Kama watatubu uovu ambao wameufanya, nitawasemehe, na kuiacha ghadhabu yangu kali; lakini, tazama utatekeleza hukumu yangu juu ya wote ambao hawatatubu uovu huu wakati huu. Kwa hiyo, hakikisha unafanya kitu hiki ambacho nimekuamuru wewe, au nitatekeleza yale yote ambayo niliyafikiria kufanya kwa watu wangu.