2011
Naweza kutoa Fungu la Kumi
Juni 2011


Watoto

Naweza kutoa Fungu la Kumi

Kutoa fungu la kumi kunamaanisha kutoa 10 kwa mia ya kile tumepokea kwa Bwana. Fikiria juu ya watoto watatu wanaofanya kazi tofauti. Kwa mfano kwamba mmoja anapokea $1, na mweingine anapokea $2, na mtoto wa tatu anapokea $3 Andika ni kiasi gani cha fungu la kumi kila mtoto atatoa

Swali la ziada: Ni yupi kati ya hawa watoa fungu la kumi atakayepokea baraka zaidi? (Dokezo: Ona aya ya mwisho ya ujumbe wa Rais Eyring.)