2012
Kila Mmoja Anaweza Kufanya Kitu Sasa
Julai 2012


Watoto

Kila Mmoja Anaweza Kufanya Kitu Sasa

  1. Rais Uchtdorf anafundisha kwamba haijalishi umri wako, unaweza kufanya kitu kuwasaidia wengine. Katika shajara yako ua katika kartasi, orodhesha vipawa na uwezo wako. Waulize wazazi wako wanafikiria vipawa wako ni vipi.

  2. Unawezaje kutumia vipawa vyako kivipi kuwasaidia wengine?

  3. Mwisho wa orodha ya vipawa vyako, andika njia moja unaweza kutumia vipawa hivyo kuwasaidia wengine wiki hii.