2023
Yesu Anamponya Mwanamke
Februari 2023


“Yesu Anamponya Mwanamke,” Jumbe za Kila mwezi za gazeti la Rafiki, February 2023

Yesu Anamponya Mwanamke”

Jumbe za kila mwezi za gazeti la Rafiki, Februari 2023

Yesu Anamponya Mwanamke

Picha
Yesu anatembea mtaani

Vielelezo na Apryl Stott

Siku moja Yesu alikuwa akitembea kwenye mtaa wenye shughuli nyingi. Katika umati ule alikuwepo mwanamke aliyeugua kwa muda wa miaka 12.

Picha
mwanamke akigusa vazi la Yesu

Mwanamke yule alikuwa na imani kwamba Yesu angeweza kumponya. Hivyo alisogea na kugusa vazi Lake. Mara moja aliponywa!

Picha
Yesu Kristo

“Nani aliyegusa nguo yangu?” Yesu aliuliza. Mwanamke alikuwa na hofu. Alipiga magoti mbele ya Yesu na kumwambia kile kilichotokea.

Picha
Yesu akizungumza na mwanamke

Yesu alikuwa mwenye upendo. Alisema, “Uwe na amani.” Alimwambia kwamba ameponywa kwasababu ya imani yake.

Picha
Watoto ndani ya mashua

Ninaweza kuwa na imani katika Yesu Kristo. Upendo wake unaweza kunisaidia na kuniletea amani.

Ukurasa wa Kupaka Rangi

Nina imani katika Yesu Kristo

Picha
mama na mwana wakiomba

Bofya kwenye picha ili kupakua.

Kielelezo na Apryl Stott

Unawezaje kuonyesha imani yako?