Misaada ya Kujifunza
TJS, Marko 2


TJS, Marko 2:26–27. Linganisha na Marko 2:27–28

Mwana wa Mtu ni Bwana wa Sabato kwa sababu aliifanya siku ya Sabato.

26 Kwa hiyo Sabato ilitolewa kwa binadamu kuwa siku ya mapumziko; na pia ili binadamu amtukuze Mungu, na sio kwamba binadamu asile;

27 Kwani Mwana wa Mtu aliifanya siku ya Sabato, kwa hiyo Mwana wa Mtu ni Bwana pia wa Sabato.