2011
Injili—, Zawadi ya Kushiriki
Februari 2011


Watoto

Injili—, Zawadi ya Kushiriki

Neno Injili linamaanisha mafundisho na maagano tuliyopewa na Yesu Kristo na manabii wake. Injili ni kama kikapu kilichojaa na zawadi kutoka kwa Baba wa Mbinguni. Unaweza kuwasaidia kuwapa watu wengine zawadi hizi Unaweza kushiriki zawadi za injili na nani?

Soma kila moja ya aya hizi za maandiko na kutengeneza orodha au michoro ya baadhi ya zawadi ambazo zimejumuishwa katika injili.

  1. Yakobo 5:14–15

  2. Mosia 16:6–7

  3. 3 Nefi 18:1–12

  4. M&M 20:71–73

  5. M&M 33:17–18

  6. M&M 59:16–21

  7. M&M 132:5

  8. M&M 110:7–10

  9. M&M 138–11