Misaada ya Kujifunza
TJS, Mathayo 5


TJS, Mathayo 5:21. Linganisha na Mathayo 5:19

Yeyote yule anayetii amri na kuwafundisha wengine kufanya vivyo hivyo ataokolewa.

21 Kwa hiyo yeyote yule, atakaye vunja moja ya amri hizi ndogo, na atafundisha watu kufanya hivyo, hataokolewa katika ufalme wa mbinguni; lakini yeyote yule atakaye fanya na kufundisha amri hizi za sheria mpaka zitakapo kamilika, huyo ataitwa mkuu, na ataokolewa katika ufalme wa mbinguni.