2022
Kuala Lumpa, Malaysia
Machi 2022


“Kuala Lumpa, Malaysia,” Liahona, Machi./Aprili 2022

Kanisa Liko Hapa

Kuala Lumpa, Malaysia

Picha
world map with Malaysia highlighted
Picha
Kuala Lumpa

Picha kutoka Adobe Stock

Anga la mji huu mkuu linatawaliwa na majengo pacha marefu zaidi ulimwenguni. Serikali huko Malaysia ilitambua rasmi Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho mnamo 1977. Leo katika nchi hii Kanisa lina:

  • Waumini 10,900 (kwa makadirio)

  • Wilaya 5, mikusanyiko 31

  • Vituo 8 vya historia ya familia

Muziki Unamwalika Roho

Katika kitongoji cha Kuala Lumpa, Brian Chan, mkewe, Sukanya Choysrakoo, na mtoto wao wa kiume na binti yao wanaimba wimbo wa watoto pamoja. “Muziki ni sehemu muhimu ya kuabudu,” Sukanya anasema. “Unamwalika Roho kuwa pamoja nasi”

Picha
familia ikiimba pamoja

Picha na Clayton Chan