2022
Msikilize Yeye
Machi 2022


“Msikilize Yeye,” Liahona, Machi./Aprili 2022

Msikilize Yeye

Picha
Kukutana kwa Esau na Yakobo

Japokuwa Yakobo alikuwa na wasiwasi juu ya kurudi katika nchi ya baba zake kwa sababu ya mgogoro kati yake na kaka yake, Esau, “Bwana alimwambia Yakobo, rudi katika nchi ya baba zako, na kwa jamaa zako; nami nitakuwa pamoja nawe.”

Maelezo kutoka Mapatano ya Yakobo na Esau, na Francesco Hayez, Luisa Ricciarini / Picha za Bridgeman