2021
Hong Kong, Jamhuri ya Watu wa China
Machi 2021


Kanisa Liko Hapa

Hong Kong, Jamhuri ya Watu wa China

Picha
family playing together at a park

Picha na Cody Bell

Watu wengi hudhania Hong Kong kama jiji la bandari lenye pilikapilika lililojaa watu. Lakini katika viunga hamna msongamano. Jirani anapotazama, waumini wa Kanisa wa vizazi vitatu wanafurahia muda wao pamoja katika bustani karibu na nyumba yao.

Uumini umeongezeka maradufu katika miaka 10 iliyopita.

Vigingi 6, Misheni 1, Hekalu 1

Mwaka 1949: Makao makuu ya misheni yalianzishwa.

Kuonesha Utunzaji Mwema kwa Wengine

Kwenye picha katika gari moshi ni mama na binti Carrie Shuk-fan Leung na Shayla Suet-yee Leung. Alipoulizwa kuhusu uhudumiaji, Dada Carrie Leung anasema, “Tunapoonesha utunzaji mwema kwa wale walio karibu nasi, tunahudumia.