2022
Msikilize Yeye
Septemba 2022


“Msikilize Yeye,” Liahona, Sept. 2022

Msikilize Yeye

Picha
Yesu Kristo pamoja na watoto

“Na [Yesu] akawaambia ule umati, na akasema: Tazameni watoto wenu.

“Na walipotazama ili waone walielekeza macho yao mbinguni, na wakaona mbingu zikifunguka, na wakaona malaika wakiteremka kutoka mbinguni kama wakiwa katikati ya moto; na walikuja chini na kuzunguka wale wachanga, na walizungukwa na moto; na malaika waliwahudumia.”

Maelezo kutoka Angels Ministered unto Them, na Walter Rane, haifai kunakiliwa