2022
Thelma Endicott, Utah, Marekani
Septemba 2022


“Thelma Endicott, Utah, Marekani,” Liahona, Sept. 2022.

Taswira za Imani

Thelma Endicott, Utah, Marekani

Picha
mwanamke akilia

Tulikuwa tukipiga picha sinema ya Kitabu cha Mormoni kuhusu kuonekana kwa Mwokozi katika nchi ya Bountiful. Siku hiyo hiyo, kaka yangu alikuwa amelala kwenye kitanda cha hospitali akifariki kwa saratani wakati mjukuu wangu wa kwanza akihangaika na kasoro ya kuzaliwa nayo iliyokuwa ikitishia-maisha. Kama mwigizaji akiigiza Yesu Kristo akishuka kutoka mbinguni, nilijua kuwa Mwokozi alikuwa ndiye jibu la majaribu yangu.