2015
Kwa nini kuwa mtiifu ni muhimu sana?
Aprili 2015


Shahidi Maalum

Kwa nini kuwa mtiifu ni muhimu sana?

Kutoka kwa “Acha Imani Ionekane,” Liahona, Mei 2014, 29–32.

Washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili ni mashahidi maalum wa Yesu Kristo.

Kushika amri kunaleta baraka, kila mara!

Kuvunja amri huleta kupoteza baraka, kila mara!

Hata ingawa “kila mtu anafanya,” makosa kamwe si sahihi.

Ukiwa mtiifu kwa Mungu, unaacha imani yako ionekane.