2015
Ujasiri katika Maandiko
Aprili 2015


Watoto

Ujasiri katika Maandiko

Rais Monson anatufundisha kuwa na ujasiri na kusimama kwa ajili ya kile tunachoamini. Kuna mifano mingi katika maandiko ya watu walioonyesha ujasiri. Soma maandiko kando ya kila jina. Watu hawa walionyeshaje ujasiri na kusimama kwa ajili ya kile walichokijua kuwa sahihi? Tumia nafasi kuandika ama kuchora picha ya majibu yako.

Danieli (Danieli 6:7, 10–23)

Esta (Esta 4:5–14; 5:1–8; 7:1–6)

Samweli Mlamani (Helamani 13:2–4; 16:1–7)

Joseph Smith (Joseph Smith—Historia 1:11–17)