2015
I Know That My Savior Loves Me
Aprili 2015


I Know That My Savior Loves Me

Kitabu changu juu ya Yesu

Hapo kale katika mahali pazuri, watoto walikusanyika kumzunguka Yesu.

Alibariki na kufundisha walipohisi upendo wake. Kila mmoja aliona machozi usoni pake.

Upendo ambao alihisi kwa wadogo walio wake ninajua anahisi vivyo hivyo kwangu.

Sikumgusa wala kukaa kwenye goti lake lakini Yesu ni halisi kwangu.

Ninajua anaishi! Nitamfuata kwa uaminifu.

Moyo wangu nautoa Kwake Ninajua kuwa Mwokozi ananipenda.