2021
Baraka za Ukuhani
Septemba/ Oktoba 2021


Njoo, Unifuate

Baraka za Ukuhani

Mafundisho na Maagano 107

Picha
hand pulling aside a curtain

Picha kutoka Getty Images

“Wakati mwingine sisi tunahusisha sana nguvu ya ukuhani na wanaume Kanisani. Ukuhani ni nguvu na mamlaka ya Mungu yaliyotolewa kwa ajili ya wokovu na baraka kwa wote—wanaume, wanawake, na watoto.

“Mtu anaweza kufungua pazia ili mwanga wenye uvugu uvugu uweze kuingia chumbani, lakini mtu yule hamiliki jua ama mwanga wala uvugu uvugu utokanao na jua. Baraka za ukuhani ni kubwa zisizo na kikomo kuliko mtu yule aliyeombwa kuhudumia hicho kipawa.”

—Mzee Neil L. Andersen wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili, “Nguvu katika Ukuhani,” Liahona, Nov. 2013, 92.

Mjadala

Ni wakati gani umehisi nguvu za ukuhani katika maisha yako?