Muziki
Mlinzi ni Mungu Wetu


28

Mlinzi ni Mungu Wetu

Kwa heshima

Mlinzi ni Mungu wetu,

Mnara madhubuti.

Auni ni Mungu wetu,

Hushinda pingamizi.

Uwezo anao,

Kushinda Anguko.

Nguvu kuu ndiye,

Muumba wa vyote.

Milele atatawala!

Maandishi: Martin Luther, 1483–1546, yamefanyiwa marekebisho

Muziki: Unahusishwa na Martin Luther

2 Samweli 22:2–3

Zaburi 18:1–2