2021
Mpendwa Msomaji wa Liahona
Mei 2021


Mpendwa Msomaji wa Liahona

Tunayo furaha kuweza kushiriki pamoja nawe baadhi ya dondoo kutoka mkutano mkuu. Tunatumaini kwamba toleo hili litakubariki wewe katika kujifunza kwako binafsi na kama familia na katika masomo yako ya Muungano wa Usaidizi na ukuhani. Kwa mara ya kwanza, wavulana na wasichana pia wanapokea dondoo hizi hizi kutoka kwenye mkutano mkuu katika lugha nyingi katika gazeti la Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana .