2021
Ya Mtandaoni Pekee
Septemba/ Oktoba 2021


SAUTI ZA ENEO

Ya Mtandaoni Pekee

“Nina furaha sana kwa mambo kadhaa niliyoyaona. Hii itaifundisha Ethiopia na ulimwengu.” Mkuu wa Baraza la Muingiliano wa Kidini la Ethiopia, Tiguhan Kesis Tagay Tadele, hivi karibuni alitembelea makao makuu ya Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Pata kiunganishi kwa ajili ya video na soma kuhusu uzoefu wake kwa kutembelea ukurasa wetu wa eneo wa Facebook:

https://www.facebook.com/churchofjesuschristafricacentral/