2023
Wito wa Kujiunga: Tamasha la Vijana la Muziki na Sanaa
Mei 2023


Wito wa Kujiunga: Tamasha la Vijana la Muziki na Sanaa

Picha
sanaa

Tunataka Kukushirikisha Wewe.

Tuma Maombi Yako ya Kujiunga kwenye Tamasha la Vijana la Muziki na Sanaa.

Nani: Vijana ulimwenguni kote (miaka 11–18).

Nini: Muziki, dansi, shairi, sanaa—kazi yoyote ya ubunifu ambayo inaonesha jinsi “unavyoweza kufanya mambo yote katika Kristo.”

Wapi: Wasilisha mtandaoni kwenye youth.ChurchofJesusChrist.org kufikia Agosti 1, 2023.

Tunza Tarehe: Tamasha, matangazo ya siku nzima ya ulimwenguni kote, yatafanyika siku ya Jumanne, Agosti 15, 2023.