2023
Mpendwa Msomaji wa Liahona
Mei 2023


Mpendwa Msomaji wa Liahona

Tunayo furaha kushiriki pamoja nawe baadhi ya dondoo kutoka kwenye mkutano mkuu. Tunatumaini kwamba toleo hili litakubariki katika kujifunza kwako binafsi na kama familia. Unaweza kupata mahubiri kwa ukamilifu kidijitali kupitia aplikesheni ya Gospel Library au kwa kutembelea gc.ChurchofJesusChrist.org.