Liahona
Ni Kweli Zipi Ambazo 1 Nefi na 2 Nefi Zinatufundisha kuhusu Yesu Kristo?
Machi 2024


“Ni Kweli Zipi Ambazo 1 Nefi na 2 Nefi Zinatufundisha kuhusu Yesu Kristo?,” Liahona, Machi 2024.

Njoo, Unifuate

2 Nefi 31–33

Ni Kweli Zipi Ambazo 1 Nefi na 2 Nefi Zinatufundisha kuhusu Yesu Kristo?

Karibu na mwisho wa maandishi yake, Nefi anasema, “Kama mtaamini katika Kristo mtaamini katika maneno haya, kwani ni maneno ya Kristo” (2 Nefi 33:10). Kweli nyingi kuhusu sifa za Mwokozi, maisha, na Upatanisho zinapatikana katika kile tulichojifunza katika Kitabu cha Mormoni hadi sasa kwa mwaka huu.

Picha
mikono ya Yesu Kristo ikiwa imeshikiliwa mbele Yake

Njooni Kwangu, na Eva Timothy

Sifa za Kristo

Picha
Yesu anafundisha ndani ya sinagogi

Nuru na Ukweli, na Simon Dewey

Huduma ya Kristo

Picha
Yesu Kristo akisulubiwa

Kusulibiwa kwa Kristo, msanii hajulikani

Upatanisho wa Kristo

  • Yeye alitukomboa kupitia dhabihu Yake (ona 2 Nefi 2:6-7).

  • Yeye alitekeleza “upatanisho usio na mwisho” ambao unashinda kifo cha kimwili na kiroho (2 Nefi 10:5).

  • Yeye anatuwezesha wakati tunapokuwa na imani Kwake na kuchagua kutubu (ona 2 Nefi 31:13).