2021
Kuitwa na Bwana
Julai 2021


Njoo, Unifuate

Kuitwa na Bwana

Mafundisho na Maagano 77–80

Picha
article on missionary callings

Kama Jared Carter na Stephen Burnett (ona Mafundisho na Maagano 79 na 80), wamisionari wa siku hizi pia wanahitaji ushahidi kwamba wameitwa na Bwana.

Maelfu ya wamisionari miito yao ilibadilishwa kwa sababu ya virusi vya corona. Kwa mfano, Curtis na Ramona Miller walipangiwa upya kwenye misheni tofauti kwa sababu ya virusi. Walishuhudia: “Tuna ushuhuda thabiti kwamba haijalishi wapi tunahudumu bali kwamba tupo tayari kuhudumia. Tunaporuhusu mkono wa Mwokozi kuongoza maisha yetu, Yeye anatustahilisha kwa ajili ya kazi Yake.”