2021
White River, Jamaica
Julai 2021


Kanisa Liko Hapa

White River, Jamaica

Picha
river in Jamaica

Picha kutoka Getty Images

White River ni karibu na mji wa Ocho Rios, nyumbani kwa tawi la Kanisa ambalo hukutana katika sehemu ya kituo cha maduka kwenye Mtaa Mkuu. Tawi la kwanza Jamaica liliundwa mwaka 1970. Leo Jamaica, Kanisa lina:

Waumini 6,668

kingingi 1, misheni 1, mikusanyiko18

vituo vya historia ya familia 7

Picha
father and daughter

“Wingi wa Furaha”

Katika Mji wa Kispaniola, jiji sio mbali kutoka Kingston, Andrew Harrison na binti yake Sydan wanafurahi pamoja. “Manabii wanasema wazazi wana wajibu wa dhati kuwapenda na kuwatunza watoto wao,” Andrew anasema. “Wazazi wazuri wanafurahia wingi wa furaha.”