2021
New York: Kitovu cha Maeneo ya Kihistoria ya Kanisa
Julai 2021


New York:

Kitovu cha Maeneo ya Kihistoria ya Kanisa

Palmyra na Fayette, New York, MAREKANI, ni nyumbani mwa matukio mengi matakatifu ya Urejesho. Uhifadhi wa maeneo haya matakatifu unaadhimisha msimamo wa Watakatifu wa Siku za Mwisho ulimwenguni kote kuanzisha ufalme wa Mungu katika wakati wetu.

Picha
article on Church historic sites around New York