2023
Msikilize Yeye
Januari 2023


“Msikilize Yeye,” Liahona, Jan. 2023

Msikilize Yeye

Picha
Yesu akitembea juu ya maji kuelekea kwenye mashua

“Walipomwona akitembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe:

“Kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni: ni Mimi; msiogope.”

Msiogope, na J. Kirk Richards