2023
Plovdiv, Bulgaria
Julai 2023


“Plovdiv, Bulgaria,” Liahona, Julai 2023.

Kanisa Liko Hapa

Plovdiv, Bulgaria

Picha
ramani ya ulimwengu ikiwa na duara kuzunguka Bulgaria
Picha
mwonekano wa jiji la Plovdiv

Ukiwa karibu na Mto Maritsa, Plovdiv ni jiji la pili kwa ukubwa huko Bulgaria na ni kituo cha utamaduni wa nchi. Majumba ya mikutano ya ibada ya kwanza ya Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho huko Bulgaria yaliwekwa wakfu mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo, Kanisa huko Bulgaria lina:

  • Waumini 2,400 (kwa makadirio)

  • Matawi 7 na misheni 1

  • Vituo 4 vya historia ya familia

Kujiandaa kwa ajili ya Mkutano Mkuu

Tsveteline Moneva anawaandaa watoto wake kuwa na uzoefu wa kiroho wakati wa mkutano mkuu. “Nina shukrani nyingi kusikia sauti ya Mungu kupitia viongozi wa Kanisa na kwa amani na shangwe wanayotuletea,” anasema.

Picha
mwanamke akisali pamoja na binti yake

Zaidi kuhusu Kanisa huko Bulgaria

Picha
placeholder altText

Jumba hili la mkutano huko Sofia, Bulgaria, ni kama sehemu ya katikati kwa ajili ya waumini wa huko.

Picha
placeholder altText

Mzee Dale G. Renlund wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili akisalimiana na muumini wakati wa matembezi huko Bulgaria mnamo 2019.

Picha
placeholder altText

Marafiki na familia wamekusanyika kwa ajili ya ubatizo wa mwongofu mpya huko Bulgaria.