2023
Inamaanisha nini kuwa Mkristo?
Julai 2023


“Inamaanisha nini kuwa Mkristo?,” Liahona, Julai 2023.

Njoo, Unifuate

Matendo ya Mitume 11.

Inamaanisha nini kuwa Mkristo?

Picha
Yesu akiwafundisha watu

Kristo Akiwafunza Wafuasi Wake, 19th-Century English School, © Look and Learn / Bridgeman Images

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume tunajifunza kwamba wafuasi waliomfuata Kristo katika Kanisa la kale “waliitwa Wakristo” (Matendo ya Mitume 11:26). Vivyo hivyo, waumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho wanajitahidi kuwa Wakristo wema. Lakini inamaanisha nini kuwa Mkristo?

Hili sio tangazo rahisi la imani. Kuwa Mkristo kunahitaji zaidi ya dhamira katika jina la Kristo pekee. Mzee Robert D. Hales (1932–2017) wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili aliuliza: “Sisi ni Wakristo wa aina gani? Kwa maneno mengine, Ni kwa jinsi gani tunafanyakatika jitihada zetu za kumfuata Kristo?”1

Sifa kama za Kristo

Mzee Hales anatuhimiza kutathmini maendeleo yetu katika kukuza sifa kama za Kristo zifuatazo:2

  • Upendo

  • Imani

  • Dhabihu

  • Kujali

  • Huduma

  • Subira

  • Amani

  • Msamaha

  • Uongofu

  • Kuvumilia hadi mwisho

Muhtasari

  1. Robert D. Hales, “Kuwa Mkristo, Mkristo Zaidi,” Liahona, Nov. 2012, 90.

  2. Ona Robert D. Hales, “Kuwa Mkristo, Mkristo Zaidi,” 91–92.

  3. Russell M. Nelson, “Choices for Eternity” (worldwide devotional for young adults, May 15, 2022), broadcasts.ChurchofJesusChrist.org.