2023
Msikilize Yeye
Machi 2023


“Msikilize Yeye,” Liahona, Machi 2023

Msikilize Yeye

Picha
Yesu akiwa amelala usingizi ndani ya mashua wakati upepo ukiwatisha wanafunzi

“Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Bwana, tuokoe, tunaangamia.

“Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.”

Yesu Akiwa Amelala Usingizi ndani ya Mashua Yake, na Jules Joseph Meynier, Musee Municipal, Cambrai, France / Bridgeman Images