2023
Kumfufua Lazaro
Machi 2023


“Kumfufua Lazaro,” Liahona, Machi 2023.

Sanaa ya Agano Jipya

Kumfufua Lazaro

Picha
placeholder altText

“[Yesu] alilia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.

“Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi. … Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.”

Yohana 11:43–44

Ufufuo wa Lazaro, na Jusepe de Ribera, hakimiliki ya mchoro Museo Nacional del Prado / Art Resource, NY