Liahona
Wito Wa Makala
Machi 2024


Wito Wa Makala

Kipengele chako cha kurasa za eneo kinazalishwa na waumini katika eneo lako chini ya mwongozo wa Urais wa Eneo ili kuangazia mahitaji na uzoefu wa waumini mahali ambapo unaishi. Tungependa kushiriki hadithi YAKO na tunakualika ulete mawazo yako na uzoefu wako wenye kuchochea imani kwa kuwasiliana na mhariri wa eneo lako kupitia Eneo la Kati la Afrika kwa barua pepe africacentral-communication@ChurchofJesusChrist.org.