2013
Familia Zinaweza Kuwa Pamoja Milele
Aprili 2013


Familia Zinaweza Kuwa Pamoja Milele

(Iliyorahisishwa)

Kwa uchangamfu 80–96

1. Nina familia hapa duniani.

Ni wazuri sana kwangu.

Ninataka kushiriki maisha yangu pamoja na wao katika milele yote.

2. Nikiwa katika maisha yangu duniani mapema,

Nitajiaanda kwa makini,

Ili nioe katika hekalu ya Mungu kwa milele

Familia zinaweza kuwa pamoja milele

Kupitia mpango wa Baba wa Mbinguni

Nataka daima kuwa na familia yangu mwenyewe,

Na Bwana amenionyesha jinsi ninaweza

Bwana amenionyesha jinsi ninaweza

Maneno na muziki © 1980 IRI. Arr. © 2012 IRI. Haki zote zimehifadhiwa Wimbo huu unaweza kunakiliwa kwa ajili ya mahitaji, yasiyo ya kibiashara ya matumizi kanisani ama nyumbani.